Thursday 8 May 2014

Jinsi ya kutoka katika mahisiano yasiyo na faida

Habari wadau,I hope mko pia na mnaendelea vyema na ujenzi Wa taifa letu zuri la Tanzania........

Back to the topic,jamani Leo me naomba tuongelee mahisiano basically yale ya wapendanao zaidi ya kawaida yaani intimate relationship,..........

 With wengi wamekuwa wakilia na kujutia kujiingiza katika mahusiano hayo,huna haja ya kulia na kusononeka kwa sababu tu unayempenda hana mapenzi na we we tena.... AMKA using'ang'anie mahusiano ambayo yanakuumiza na hayana faida kwako zaidi ya kukijaza simanzi moyoni mwako..

NINI UFANYE?

,1: JIPE MUDA

Ninavyosema jipe muda namaanisha mini?Huna haja ya kuendelea kuteseka,amini unaweza kuishi bila hata huyo anayekusababishia huzuni na mateso katika maisha yako..

2:MTANGULIZE MUNGU KATIKA KILA UNACHOKIFANYA

Kama unamuamini Mungu bas mtegemee yeye ili akupe muongozo na kukupa nguvu za kumove on,INALIPA KUMTEGEMEA MUNGU.

3: ANZA MAISHA YAKO MAPYA

Believe me utaumia kwa muda lakini hakunaaumivu yasiyokuwa na mwisho,kama ulikuwa huna kazi tafuta na Fanya kazi hiyo kwa bidii isivyo kawaida kawaida,Utaenjoy na taratibu utagundua umeanza kumsahau huyo mtesaj.

4: AMINI UTAMPATA MWINGINE 

Ukiamini hivi...hakika  utakuwa mwenye furaha na hautojutia kuamua kuvunja uhusiano ambao ulokufanya uishi kifungoni,ILA,NOTE: USIKURUPUKE KUANZISHA UHUSIANO,jipe muda Wa kutosha kabla ya kuanzisha uhusiano mwingine na unapaswa kujua ni muda gain utakuwa tayari kwa kuanzisha mahusiano mapya

Kwa leo naomba niishie hapa tutaonana next time.... usisite kutoa maoni yako na ushauri wako na unafikiria nini juu ya mada mada yet ya Leo.......

NEXT TIMEEEEE

Wednesday 7 May 2014

Mtazamo wa tuzo za Kili

Habari wadauzzzzzz, Leo naomba tuzungumzie tuzo maarufu za muziki hapa Tanzania zijulikanazo kama KTMA,je ulizionaje from maandalizi ya tuzo zenyewe,wanamuziki wenyewe walijandaaje,n.k


As for me zilikuwa one of the worst KTMA ever,it was boring,unprofessional and unarranged ones, if it was not Mpoki I don't know what could happen. On my next post ntaeleza in details what I saw,usisite Kunipa maoni yako kupitia my E mail,my fb page Clara Emmanuel and IG Clara Emmanuel......... tchaoooo